Oi mcheki Adam kwenye pozi la suti kama kapendeza vile.
Kwa wale wapenzi wa leo tena mnamcheki Dina alivyopendeza.
Mcheki vizuri.
Oi huyo ndo Diva mr Bulu yuko na mo rocka.
Yo are now rockin with a best rapper best mc. Sio mimi ni Mwamba wa kaskazini JOH MAKINI.