Oi mcheki Adam kwenye pozi la suti kama kapendeza vile.
Kwa wale wapenzi wa leo tena mnamcheki Dina alivyopendeza.
Mcheki vizuri.
Oi huyo ndo Diva mr Bulu yuko na mo rocka.
Yo are now rockin with a best rapper best mc. Sio mimi ni Mwamba wa kaskazini JOH MAKINI.
Kwa wale wapenzi wa All Stars hizo ndio toleo mpya so go and grab yours.
Hip Hop imebadilika siyo ya watu weusi tu sasa hivi wazungu wana wakilisha kama huyo hapo kwenye picha DRAKE.
Oi wazeiya mmeisikiliza albam ya mkali Rick Ross Teflon Don.
Hi karibu A Town uijue mitaa ujae sekei uzungukie mitaa ya k juu namaanisha kijenge.
A CITY in the house